Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Dkt.Shein Akuatana na Ujumbe wa Benki ya CRDB.
Nov 09, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_22109" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akipokea Hundi ya Shilingi za Kitanzania Milioni Ishirini na kutoka kwa Mkurugenzi Masoko wa Benki ya CRDB, Bi.Tully Esther Mwambapa zilizoahidiwa na Benki hiyo kwa ajili ya mchango wa madawati kwa Shule za Serikali sambamba na kupokea milioni tano kwa ajili ya Ujenzi katika Shule ya chekechea Madungu Wilaya ya Chakechake Pemba, ujumbe wa Benki hiyo ulipofika Ikulu Mjini Unguja leo.[/caption] [caption id="attachment_22110" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na ujumbe wa Benki ya CRDB unaoongozwa na Mkurugenzi Masoko Bw.Tully Esther Mwambapa (wa pili kulia) ulipofika Ikulu Mjini Unguja leo.[/caption] [caption id="attachment_22111" align="aligncenter" width="680"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na mgeni wake Mkurugenzi Masoko wa Benki ya CRDB Bi.Tully Esther Mwambapa baada ya mazungumzo na Ujumbe wa Benki hiyo ulipofika Ikulu Mjini Unguja leo.[/caption] [caption id="attachment_22112" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akiagana na Mkurugenzi Masoko wa Benki ya CRDB Bi.Tully Esther Mwambapa baada ya mazungumzo alipofika Ikulu Mjini Unguja leo akiwa na Ujumbe aliofuatana nao, [Picha na Ikulu – Zanzibar, 09 /11/2017.].[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi