Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Dkt. Shein Ahudhuria Hafla ya Kuchangia Mfuko wa UWT Zanzibar
Aug 27, 2017
Na Msemaji Mkuu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na viongozi mbali mbali alipowasili katika hafla ya Chakula cha Hisani kuchangia Mfuko wa maendeleo ya UWT Zanzibar iliyofanyika jana katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja (Picha na Ikulu).

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein  akisalimiana na viongozi mbali mbali alipowasili katika hafla ya Chakula cha Hisani kuchangia Mfuko wa maendeleo ya UWT Zanzibar iliyofanyika jana katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja (Picha na Ikulu.)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein (kulia) akimkabidhi Cheti Bw. Ali Kilupy kutoka Kendwa Roky Hotel akiwa ni miongozi mwa wachangiaji wa kiwango cha juu katika kuchangia Mfuko wa Maendeleo ya UWT Zanzibar katika hafla ya chakula cha hisani iliyofanyika jana ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja. (Picha na Ikulu).

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi