Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Dkt. Kigwangalla Atembelea Maporomoko ya Kalambo.
Jul 10, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_33449" align="aligncenter" width="640"] Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla na viongozi wengine wa mkoa wa Rukwa wakifurahia kufika karibu na kina cha Maporomoko ya Mto Kalambo ambayo yapo katika wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa, maporomoko haya ni ya pili kwa urefu barani Afrika. Eneo hilo la kivutio linaendelea kuboreshwa kwa kujengewa ngazi maalum zinazowawezesha watalii kufika hadi kwenye kina cha maporomoko hayo.[/caption] [caption id="attachment_33450" align="aligncenter" width="640"] Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla na viongozi wengine wa mkoa wa Rukwa wakishuka kwenda kuona Maporomoko ya Mto Kalambo ambayo yapo katika wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa.[/caption] [caption id="attachment_33451" align="aligncenter" width="640"] Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla viongozi wengine wa mkoa wa Rukwa wakinawa mikono kwenye mto kalambo ambao unatengeneza Maporomoko ya Mto Kalambo ambayo ni ya pili kwa urefu barani Afrika katika kijiji cha Kapozwa wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa.[/caption] [caption id="attachment_33452" align="aligncenter" width="640"] Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akizungumza na wananchi wa kijiji cha Kapozwa wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa muda mfupi baada ya kutembelea Maporomoko ya Mto Kalambo ambayo ni ya pili kwa urefu barani Afrika. Eneo hilo la kivutio linaendelea kuboreshwa kwa kujengewa ngazi maalum zinazowawezesha watalii kufika hadi kwenye kina cha maporomoko hayo.[/caption] [caption id="attachment_33453" align="aligncenter" width="640"] Muonekano wa eneo la kuingilia kuelekea kwenye mporomoko ya mto Kalambo.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi