Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Dkt. Biteko Awasili Nchini Uganda Kumwakilisha Rais Samia
Oct 08, 2023
Dkt. Biteko Awasili Nchini Uganda Kumwakilisha Rais Samia
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko leo Oktoba 8, 2023 akiondoka nchini kuelekea nchini Uganda kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 61 ya Uhuru wa nchi hiyo. Maadhimisho hayo yanatarajiwa kufanyika Oktoba 9, 2023 nchini humo.
Na Mwandishi Wetu

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi