Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Dkt. Abbas Akutana na Waandishi wa Habari, Wasomi wa Mawasiliano ya Umma Mkoani Mwanza
May 02, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_31029" align="aligncenter" width="1000"] Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akishiriki kipindi cha TUJADILIANE kilichoendeshwa na Doto Bullendu chenye lengo la kuhamasisha maendeleo katika nchi kwa kutumia vyombo vya Habari, Jana 1/05/2018 mkoani Mwanza[/caption] [caption id="attachment_31027" align="aligncenter" width="1000"] Mkurugenzi Mtendaji wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania Abubakar Karsan akiongea wakati wa kumkaribisha Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO Dkt. Hassan Abbasi kabla hajashiriki kipindi cha TUJADILIANE kilicho hudhuriwa na waandishi mbalimbali wa vyombo vya habari vya kanda ya Ziwa, Jana 1/05/2018 mkoani Mwanza

[/caption] [caption id="attachment_31029" align="aligncenter" width="1000"] Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akishiriki kipindi cha TUJADILIANE kinachoendeshwa na Doto Bullendu chenye lengo la kuhamasisha maendeleo katika nchi kwa kutumia vyombo vya Habari, Jana 1/05/2018 mkoani Mwanza[/caption] [caption id="attachment_31032" align="aligncenter" width="1000"] Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC) pamoja na waandishi mbalimbali wa vyombo vya habari vya kanda ya Ziwa, Jana 1/05/2018 mkoani Mwanza
[/caption] [caption id="attachment_31033" align="aligncenter" width="1000"] Mkurugenzi Mtendaji wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania Abubakar Karsan akimueleza jambo Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi wakati wa ziara ya kikazi ya Dkt. Abbas, Jana 1/05/2018 mkoani Mwanza.[/caption] [caption id="attachment_31034" align="aligncenter" width="1000"] Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akiongea na Mkurugenzi Mtendaji wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania Abubakar Karsan ambapo alimueleza nia ya Serikali ya kuendelea kutoa ushirikiano kwa waandishi wa habari nchini, Jana 1/05/2018 mkoani Mwanza.
[/caption] [caption id="attachment_31035" align="aligncenter" width="1000"] Mkurugenzi Mtendaji wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania Abubakar Karsan akimuonesha Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi bango lenye kuonesha majukumu ya klabu za waandishi wa habari nchini,Jana 1/05/2018 mkoani Mwanza.
[/caption] [caption id="attachment_31036" align="aligncenter" width="1000"] Mkurugenzi Mtendaji wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania Abubakar Karsan akikabishi Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi kalenda ya chama hicho,Jana 1/05/2018 mkoani Mwanza.
[/caption] [caption id="attachment_31039" align="aligncenter" width="1000"] Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akiongea na wasomi wa Mawasiliano ya Umma wa Chuo cha Mtakatifu Agustino (SAUT) Mwanza kuhusu Maadili ya Uandishi wa Habari na umuhimu wa uandishi katika kufuata weledi, Jana 1/05/2018 mkoani Mwanza.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi