Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

DKT.Shein Akutana na Mwakilishi Mpya wa UNFPA Nchini
Nov 09, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_22098" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na mgeni wake Mwakilishi mpya wa Shirika la UNFPA Nchini Tanzania Bibi.Jacqueline Mohan alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiwa na ujumbe aliofuatana nao, kushoto ni Bibi.Azzan Amin Nofly, Ofisa katika Shirika hilo, [/caption] [caption id="attachment_22095" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza Mwakilishi mpya wa Shirika la UNFPA Nchini Tanzania Bibi.Jacqueline Mohan alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiwa na Ujumbe aliofuatana nao.[/caption] [caption id="attachment_22097" align="aligncenter" width="680"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na mgeni wake Mwakilishi mpya wa Shirika la UNFPA Nchini Tanzania Bibi.Jacqueline Mohan baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar.(Picha na Ikulu - Zanzibar).[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi