Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Dk.Shein Akutana na Makamu wa Shirika la Ndege la Misri Egyptair
Apr 19, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_30617" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Makamo wa Rais wa Shirika la Ndege la Misri EGYPTAIR Bw.Mohamed Alabbady alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiwa na Ujumbe aliofuatana nao.[/caption] [caption id="attachment_30618" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Makamo wa Rais wa Shirika la Ndege la Misri EGYPTAIR Bw.Mohamed Alabbady (katikati) alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiwa na Ujumbe aliofuatana nao.[/caption] [caption id="attachment_30619" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Makamo wa Rais wa Shirika la Ndege la Misri EGYPTAIR Bw.Mohamed Alabbady alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiwa na Ujumbe aliofuatana nao (hawapo pichani),[[/caption] [caption id="attachment_30620" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akibadilishana mawazo na Makamo wa Rais wa Shirika la Ndege la Misri EGYPTAIR Bw.Mohamed Alabbady (kushoto) mara baada ya mazungumzo yao yalifanyifika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiwa na Ujumbe aliofuatana nao (wa pili kulia) Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Misri Meja Jenerali Issa Suleiman Nassor na Kaimu Mkurugenzi wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Ofisi ya Zanzibar Bw.Mohamed Haji Hamza(wa pili kulia). (Picha na Ikulu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi