Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Dk. Shein Akutana na Bodi za Wakurugenzi
Aug 03, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_8320" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (katikati) mara alipoingia katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu Mjini Unguja leo, wakati wa kikao cha siku moja kilichojumuisha Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bodi ya Wakurugenzi ya Mfuko wa Barabara na Uongozi wa Mfuko wa Barabara, kilichozungumzia masuala mbali mbali ya kiutendaji.[/caption] [caption id="attachment_8323" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee (kulia) akiwa na Viongozi mbali mbali wakati wa kikao cha siku moja kilichojumuisha Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bodi ya Wakurugenzi ya Mfuko wa Barabara na Uongozi wa Mfuko wa Barabara kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo chini ya Mwenyekiti, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja[/caption] [caption id="attachment_8326" align="aligncenter" width="750"] Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mfuko wa Barabara Bw. Mwalimu Haji Ameir (kulia) alipokuwa akitoa maelezo ya Bodi yake kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati wa kikao cha siku moja kilichojumuisha Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bodi ya Wakurugenzi ya Mfuko wa Barabara na Uongozi wa Mfuko wa Barabara kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo,(kushoto) Mkurugenzi Mtendaji Mwalimu Ali Mwalimu (kushoto).[/caption] [caption id="attachment_8327" align="aligncenter" width="750"] Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Ndg. Ali Khamis (kulia) alipokuwa akifafanua jambo wakati wa kikao cha siku moja kilichojumuisha Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bodi ya Wakurugenzi ya Mfuko wa Barabara na Uongozi wa Mfuko wa Barabara kilichofanyika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Khali Salum Mohamed (kushoto). (Picha na Ikulu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi