Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

DC Kibaha Auagiza Uongozi wa Kampuni ya Yapi Markezi Kutatua Kero za Wafanyakazi.
Nov 03, 2017
Na Msemaji Mkuu

<Mkuu wa wilaya ya Kibaha, Asumpter Mshama akimtambulisha meneja mwajiri wa kampuni ya ujenzi wa reli ya Kisasa ya Yapi Markezi kutoka Uturuki kwa vijana wasotea ajira walioweka kambi yao kijiji cha Soga-Kibaha, Pwani wakati akifanya mkutano nao. Mkuu huyo wa wilaya alifanya ziara hiyo kwa kushirikiana na kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya.

Mkuu wa wilaya ya Kibaha, Asumpter Mshama akijadiliana machache na meneja mwajiri wa kampuni ya ujenzi wa reli ya Kisasa ya Yapi Markezi kutoka Uturuki wakati alipofanya mkutano wake na vijana wasotea ajira walioweka kambi yao kijiji cha Soga-Kibaha, Pwani.

Mkuu wa wilaya ya Kibaha, Asumpter Mshama akitolea ufafanuzi wa mambo machache kwa vijana wasotea ajira walioweka kambi yao kijiji cha Soga-Kibaha, Pwani.

Mkuu wa wilaya ya Kibaha, Asumpter Mshama akaribishwa na uongozi wa kampuni ya ujenzi wa reli ya Kisasa ya Yapi Markezi kutoka Uturuki ili aweze kuongea na vijana wasotea ajira walioweka kambi yao kijiji cha Soga-Kibaha, Pwani.

Mkutano ukiendelea.

Mkuu wa wilaya ya Kibaha, Asumpter Mshama aliyeambatana na viongozi wa kamati ya ulinzi na usalama wakifanya mkutano wa ndani na vingozi wa kampuni ya ujenzi wa reli ya Kisasa ya Yapi Markezi kutoka Uturuki  katika mambi yao waliyoiweka kijiji cha Soga-Kibaha, Pwani.

Kamati ya ulinzi na usalama ikifuatilia kwa karibu.

Mkuu wa Wilaya ya Kibaha, Asumpter Mshama (kushoto) na katibu tawala wilaya ya Kibaha Sozi Ng'ate (kulia) wakipata maelezo machache kwa kiongozi wa kampuni ya ujenzi wa reli ya Kisasa ya Yapi Markezi kutoka Uturuki wakati walipotembelea kambi yao iliyopo kijiji cha Soga-Kibaha, Pwani. PICHA  NA CATHBERT KAJUNA -  KIBAHA. >

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi