Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Bungeni Leo katika Picha
Sep 04, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_34786" align="aligncenter" width="900"] Mbunge wa Jimbo la Buyungu Mhe. Mhandisi Christopher Chiza akiapa mbele ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job NdugaiS leo Jijini Dodoma mara baada ya kuchaguliwa kuwa mbunge wa jimbo hilo.[/caption] [caption id="attachment_34782" align="aligncenter" width="900"] Mbunge wa Kibakwe Mhe. George Simbachawene akisisitiza kuhusu faida za Dodoma kuwa makao makuu ya nchi yetu leo Bungeni Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_34781" align="aligncenter" width="900"] Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akisisitiza jambo wakati wa kipindi cha maswali na majibu Bungeni jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_34780" align="aligncenter" width="900"] Sehemu ya wabunge wakifuatilia mkutano wa 12 kikao cha kwanza cha Bunge leo Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_34778" align="aligncenter" width="899"] Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Ashatu Kijaji akijibu swali Bungeni Kuhusu hatua zinazochukuliwa na Serikali katika kuwezesha mikoa kutekeleza miradi ya kimkakati ya maendeleo ili kuinua uchumi wa mikoa hiyo.[/caption] [caption id="attachment_34777" align="aligncenter" width="833"] Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akimpongeza mbunge wa Buyungu Mhe. Mhandisi Christopher Chiza mara baada ya kula kiapo mbele ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai leo Bungeni Jijini Dodoma.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi