Balozi wa Saudi Arabia Nchini Amekutana na Rais Dkt. Mwinyi
Dec 08, 2023
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akimsikiliza Balozi mpya wa Saudi Arabia nchini Tanzania, Mhe. Yahya Ahmed Okeish alipofika kujitambulisha leo Ikulu Jijini Zanzibar..
Na
Ikulu - Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akipokea zawadi kutoka kwa mgeni wake Balozi wa Saudi Arabia Nchini Tanzania, Mhe. Yahya Ahmed Okeish alipofika kujitambulisha leo Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akifuatana na mgeni wake Balozi wa Saudi Arabia nchini Tanzania, Mhe. Yahya Ahmed Okeish alipofika kujitambulisha leo Ikulu jijini Zanzibar .