Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Balozi wa Korea Kusini Nchini Tanzania Atembelea TRA
May 11, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_31580" align="aligncenter" width="750"] Balozi wa Serikali ya Jamhuri ya Korea Kusini nchini Tanzania Bw. Song Geum - Young akimkabidhi zawadi Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Charles Kichere alipomtembelea Kamishna huyo ofsini kwake mapema leo kuzungumzia masuala mbalimbali ya kodi katika uwekezaji na biashara. Wa kwanza kushoto ni Bw. Tiger Lee (Seung - Hoon) kutoka Ofisi ya Ubalozi wa Serikali ya Jamhuri ya Korea Kusini nchini Tanzania na wa kwanza kulia ni Bw. Said Athumani, Kaimu Mkurugenzi wa Utafiti, Sera na Mipango wa TRA.[/caption] [caption id="attachment_31581" align="aligncenter" width="750"] Balozi wa Serikali ya Jamhuri ya Korea Kusini nchini Tanzania Bw. Song Geum - Young (wa pili kushoto) akizungumza na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Charles Kichere (kulia) alipomtembelea Kamishna huyo ofsini kwake mapema leo kuzungumzia masuala mbalimbali ya kodi katika uwekezaji na biashara. Kulia ni Bw. Tiger Lee (Seung - Hoon) kutoka Ofisi ya Ubalozi wa Serikali ya Jamhuri ya Korea Kusini nchini Tanzania.[/caption] [caption id="attachment_31582" align="aligncenter" width="750"] Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Charles Kichere (kulia) akizungumza na Balozi wa Serikali ya Jamhuri ya Korea Kusini nchini Tanzania Bw. Song Geum - Young (wa pili kushoto) alipomtembelea Kamishna huyo ofsini kwake mapema leo kuzungumzia masuala mbalimbali ya kodi katika uwekezaji na biashara. Kulia ni Bw. Tiger Lee (Seung - Hoon) kutoka Ofisi ya Ubalozi wa Serikali ya Jamhuri ya Korea Kusini nchini Tanzania.[/caption] [caption id="attachment_31583" align="aligncenter" width="750"] Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Charles Kichere na Balozi wa Serikali ya Jamhuri ya Korea Kusini nchini Tanzania Bw. Song Geum - Young wakipeana mikono baada ya kumaliza mazungumzo wakati Balozi huyo alipomtembelea Kamishna Mkuu ofsini kwake mapema leo kuzungumzia masuala mbalimbali ya kodi katika uwekezaji na biashara. Wa kwanza kulia ni Bw. Said Athumani, Kaimu Mkurugenzi wa Utafiti, Sera na Mipango wa TRA. (PICHA ZOTE NA VERONICA KAZIMOTO).[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi