Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Mhe. Khamis Ramadhan Abdalla (kulia) kuwa Jaji Mkuu wa Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar kabla ya uteuzi huo alikaimu nafasi hiyo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Mhe. Said Hassdan Said (kulia) kuwa Jaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar kabla alikuwa Mwanasheria Mkuu Awamu ya 7 Uongozi uliopita.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Mhe. Salma Ali Hassan (kulia) kuwa Jaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar kabla alikuwa Mkurugenzi Mashtaka Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Mhe. Mohamed Ali Mohamed (kulia) kuwa Jaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar kabla alikuwa Mrajis wa Mahkama Kuu