Tuvuti Kuu
Mrejesho
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO
Oct 30, 2020
Na Msemaji Mkuu
Matukio katika Picha: Utangazaji Matokeo ya Uchaguzi wa Rais, JNICC Jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC), Mhe. Jaji (Mst), Semistocles Kaijage akitangaza matokeo ya Uchaguzi wa Rais katika majimbo mbalimbali nchini ambapo Mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt.John Pombe Magufuli anaongoza kwa asilimia kubwa katika Majimbo yaliyotajwa, na kuwaacha mbali wapinzani wake, wa tatu kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi (NEC), Dkt. Wilson Mahera na wengine ni Wajumbe wa Tume hiyo, utangazaji Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kwa Kiti cha Urais unafanyika katika Kituo cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam.
Watazamaji wa Ndani wa Uchaguzi Mkuu 2020 wakifuatilia usomwaji wa matokea ya Uchaguzi wa Rais, ambayo yanatangazwa na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC), Mhe. Jaji (Mst), Semistocles Kaijage, katika Kituo cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam.
Mawakala wa Wagombea wa Kiti cha Urais wakifuatilia Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 katika kiti hicho ambayo ambayo yanatangazwa na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC), Mhe. Jaji (Mst), Semistocles Kaijage, katika Kituo cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam.
Waandishi wa Habari wakichukua habari za utangazaji matokeo ambayo yanatangazwa na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC), Mhe. Jaji (Mst), Semistocles Kaijage, katika Kituo cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC), Mhe. Jaji (Mst), Semistocles Kaijage akitangaza matokeo ya Uchaguzi wa Rais katika majimbo mbalimbali nchini ambapo Mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt.John Pombe Magufuli anaongoza kwa asilimia kubwa katika Majimbo yaliyotajwa, kulia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi (NEC), Dkt. Wilson Mahera, utangazaji Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kwa Kiti cha Urais unafanyika katika Kituo cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC), Mhe. Jaji (Mst), Semistocles Kaijage, akiteta Jambo na Mkurugenzi wa Uchaguzi(NEC), Dkt.Wilson Mahera wakati wa utangazaji matokeo ya Uchaguzi nasfasi ya Urais unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Uchaguzi (NEC), Dkt.Wilson Mahera akipanga karatasi za matokeo ambayo yamemalizwa kutangazwa na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC), Mhe. Jaji (Mst), Semistocles Kaijage, katika zoezi la utangazaji matokeo ya Uchaguzi wa Rais linalifanyika katika Kituo cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam.
Habari Mpya
Hatutavumilia vitendo vyovyote vinavyochochea machafuko na mifarakano nchini – R...
Sep 17, 2024
Tanzania Yazuia Tani 216 za Kemikali Hatari kwa Tabaka la Ozoni
Sep 17, 2024
Rais Dkt. Mwinyi Atoa Rai kwa ZRCP Kuanzisha Mfumo Wezeshi Kwenye Biashara Zinaz...
Sep 17, 2024
Mwanza Yaja na Kliniki ya Ardhi Kata kwa Kata Kuwafikia Watu Kwenye Maeneo Yao
Sep 13, 2024
Nishati Safi ya Kupikia ni Ajenda ya Kuokoa Maisha ya Watu - Dkt. Biteko
Sep 13, 2024
Waziri Kijaji Akutana na Kamisheni ya Tabianchi ya Bonde la Congo
Sep 13, 2024
Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Giza
Mwanga
Chaguo Msingi
Marekebisho ya Maandishi
Ndogo
Kawaida
Kubwa