Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio Katika Picha, Waziri Mkuu Majaliwa Bungeni Leo
Jul 04, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_5356" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa Viti Maalum, Faida Bakari kwenye Jengo la Utawala la Bunge mjini Dodoma leo.[/caption] [caption id="attachment_5355" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mufindi Kusini, Medard Kigola kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo. (Picha na: OWM)[/caption] [caption id="attachment_5354" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Ulanga, Goodluck Mlinga kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo.[/caption] [caption id="attachment_5353" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungungumza na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, ambaye pia ni Mbunge wa Nzega Vijijini, Dkt. Hamisi Kigwangalla kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo.[/caption] [caption id="attachment_5347" align="aligncenter" width="736"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kuteuliwa, Mama Salma Kikwete kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo.[/caption] [caption id="attachment_5345" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega kwenye Jengo la Utawala la Bunge mjini Dodoma leo.[/caption] [caption id="attachment_5358" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akizungumza na wabunge, Abdallah Ulega wa Mkuranga (kushoto) na Stephen Masele kwenye Jengo la Utawala la Bunge mjini Dodoma leo.[/caption] [caption id="attachment_5357" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa Msalala, Ezekiel Maige (kulia) na Mbunge wa Bukene, Selemani Zedi kwenye Jengo la Utawala la Bunge Mjini Dodoma leo. (Picha na: OWM)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi