Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio Katika Picha Ufunguzi wa Kongamano la Biashara Tanzania na Uganda
Sep 06, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_46565" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.John Pombe Magufuli na Rais wa Jamhuri ya Uganda Yoweri Kaguta Museveni, pamoja na Mawaziri wa Tanzania na Uganda wakiwa katika ufunguzi wa kongamano la biashara kati ya Tanzania na Uganda uliofanyika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_46567" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.John Pombe Magufuli akisisitiza Jambo mbele ya wafanyabiashara kutoka Tanzania na Uganda wakati wa Hotuba yake katika ufunguzi wa kongamano la biashara kati ya Tanzania na Uganda uliofanyika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam[/caption] [caption id="attachment_46571" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Uganda Yoweri Kaguta Museveni akisisitiza Jambo mbele ya wafanyabiashara kutoka Tanzania na Uganda wakati wa Hotuba yake katika ufunguzi wa kongamano la biashara kati ya Tanzania na Uganda uliofanyika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam[/caption] [caption id="attachment_46572" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania, Prof.Palamagamba Kabudi akitoa maelezo ya Wizara yake mbele ya wafanyabiashara kutoka Tanzania na Uganda, wakati wa ufunguzi wa kongamano la biashara kati ya Tanzania na Uganda uliofanyika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_46573" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda, Sam Kutesa akitoa maelezo ya Wizara yake mbele ya wafanyabiashara kutoka Tanzania na Uganda, wakati wa ufunguzi wa kongamano la biashara kati ya Tanzania na Uganda uliofanyika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_46575" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania, Prof.Palamagamba Kabudi na Waziri wa Kilimo, Mifugo, Uvuvi na Viwanda wa Uganda, Vicent Bamulangaki wakionesha nakala za mkataba wa makubaliono kwenye sekta ya kilimo, Shughuli hiyo ilifanyika katika ufunguzi wa kongamano la biashara kati ya Tanzania na Uganda uliofanyika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi