Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio Katika Picha Kikao Kazi cha Makatibu Wakuu na Ma-RAS
Sep 19, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_35409" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Balozi John Kijazi akifungua Kikao Kazi cha Makatibu Wakuu na Makatibu Tawala wa Mikoa kinachofanyika Jijini Dodoma kwa siku tatu kuanzia Septemba 19,2018.[/caption] [caption id="attachment_35410" align="aligncenter" width="1000"] Mtendaji Mkuuwa Taasisi ya Uongozi Prof. Joseph Semboja akisistiza jambo wakati wa Kikao kazi cha Makatibu Wakuu na Makatibu Tawala wa Mikoa kinachofanyika Jijini Dodoma kwa siku tatu kuanzia Septemba 19,2018.[/caption] [caption id="attachment_35414" align="aligncenter" width="1000"] Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Bi Susan Mlawi akijitambulisha wakati wa wa Kikao kazi cha Makatibu Wakuu na Makatibu Tawala wa Mikoa kinachofanyika Jijini Dodoma kwa siku tatu kuanzia Septemba 19, 2018.[/caption] [caption id="attachment_35412" align="aligncenter" width="961"] Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za Kulevya nchini Bw. James Syanga akiwasilisha mada kuhusu athari za madawa ya kulevya wakati wa Kikao kazi cha Makatibu Wakuu na Makatibu Tawala wa Mikoa kinachofanyika Jijini Dodoma kwa siku tatu kuanzia Septemba 19,2018.[/caption] [caption id="attachment_35415" align="aligncenter" width="1000"] Katibu Tawala Mkoa wa Songwe Bw. David Kafulila akijitambulisha wakati wa wa Kikao kazi cha Makatibu Wakuu na Makatibu Tawala wa Mikoa kinachofanyika Jijini Dodoma kwa siku tatu kuanzia Septemba 19,2018.[/caption] [caption id="attachment_35413" align="aligncenter" width="1000"] Manaibu Katibu Wakuu na Makatibu Tawala wakifuatilia mada wakati wa Kikao kazi cha Makatibu Wakuu na Makatibu Tawala wa Mikoa kinachofanyika Jijini Dodoma kwa siku tatu kuanzia Septemba 19,2018.[/caption] [caption id="attachment_35411" align="aligncenter" width="1000"] Sehemu ya Makatibu Wakuu wakifuatilia uwasilisjhaji wa mada mbalimbali kwenye Kikao kazi cha Makatibu Wakuu na Makatibu Tawala wa Mikoa kinachofanyika Jijini Dodoma kwa siku tatu kuanzia Septemba 19,2018.[/caption] [caption id="attachment_35416" align="aligncenter" width="750"] Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Bw. Nichalaus William akijitambulisha katika kikao kazi cha Makatibu Wakuu na Makatibu Tawala wa Mikoa kinachofanyika Jijini Dodoma kwa siku tatu kuanzia Septemba 19, 2018.[/caption] [caption id="attachment_35419" align="aligncenter" width="1000"] Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Balozi John Kijazi akiwa kwenye picha ya pamoja na watoa mada wa Kikao Kazi cha Makatibu Wakuu na Makatibu Tawala wa Mikoa kinachofanyika Jijini Dodoma kwa siku tatu kuanzia Septemba 19,2018 wakiwemo Makatibu Wakuu.[/caption] [caption id="attachment_35418" align="aligncenter" width="1000"] Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Balozi John Kijazi akiwa kwenye picha ya pamoja na Makatibu Tawala wa Mikoa mara baada ya kufungua Kikao Kazi cha Makatibu Wakuu na Makatibu Tawala wa Mikoa kinachofanyika Jijini Dodoma kwa siku tatu kuanzia Septemba 19, 2018.[/caption] [caption id="attachment_35417" align="aligncenter" width="1000"] Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Balozi John Kijazi akiwa kwenye picha ya pamoja na Makatibu Wakuu mara baada ya kufungua kikao kazi cha Makatibu Wakuu na Makatibu Tawala wa Mikoa kinachofanyika Jijini Dodoma kwa siku tatu kuanzia Septemba 19,2018.(Picha zote na: Frank Shija - MAELEZO)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi