Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Dkt. John Pombe Magufuli Awaapisha Majaji wa Mahakama Kuu
Apr 20, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_30668" align="aligncenter" width="1000"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Jamhuri wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza wakati wa hafla ya kuwaapisha Majaji wapya wa Mahakama Kuu, Wakili Mkuu wa Serikali (SG) na Naibu Wakili Mkuu (DSG), Naibu Mwendesha Mashtaka (DDPP) pamoja na Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali (DAG) leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_30669" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi akisisitiza jambo wakati wa hafla ya kuwaapisha Majaji wapya wa Mahakama Kuu, Wakili Mkuu wa Serikali (SG) na Naibu Wakili Mkuu (DSG), Naibu Mwendesha Mashtaka (DDPP) pamoja na Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali (DAG) leo Ikulu Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Jamhuri wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli na kushoto ni Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Profesa Ibrahim Juma.[/caption] [caption id="attachment_30670" align="aligncenter" width="1000"] Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Profesa Ibrahim Juma akitoa nasaha wakati wa hafla ya kuwaapisha Majaji wapya wa Mahakama Kuu, Wakili Mkuu wa Serikali (SG) na Naibu Wakili Mkuu (DSG), Naibu Mwendesha Mashtaka (DDPP) pamoja na Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali (DAG) leo Ikulu Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Jamhuri wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli.[/caption] [caption id="attachment_30671" align="aligncenter" width="1000"] Jaji Elvin Mugeta akila kiapo mbele ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli, cha kuwa Jaji wa Mahakama Kuu Tanzania wakati wa hafla ya kuwaapisha Majaji wapya wa Mahakama Kuu, Wakili Mkuu wa Serikali (SG) na Naibu Wakili Mkuu (DSG), Naibu Mwendesha Mashtaka (DDPP) pamoja na Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali (DAG) leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.Wapili kulia anayeshuhudia ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi.[/caption] [caption id="attachment_30672" align="aligncenter" width="1000"] Rais John Pombe Magufuli akimpongeza Naibu Wakili Mkuu wa Serikali (DSG), Dkt. Ally Salehe Posi(kulia) mara baada ya kumkabidhi zana za kazi katika hafla ya kuwaapisha Majaji wapya wa Mahakama Kuu, Wakili Mkuu wa Serikali (SG) na Naibu Wakili Mkuu (DSG), Naibu Mwendesha Mashtaka (DDPP) pamoja na Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali (DAG) leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_30673" align="aligncenter" width="1000"] Dkt. Evarist Emmanuel Lungopa akila kiapo mbele ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli, kuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali katika hafla ya kuwaapisha Majaji wapya wa Mahakama Kuu, Wakili Mkuu wa Serikali (SG) na Naibu Wakili Mkuu (DSG), Naibu Mwendesha Mashtaka (DDPP) pamoja na Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali (DAG) leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.Wapili kulia anayeshuhudia ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi.[/caption] [caption id="attachment_30674" align="aligncenter" width="1000"] Jaji Butamo Kasuka Philip akila kiapo mbele ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli, kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama Kuu katika hafla ya kuwaapisha Majaji wapya wa Mahakama Kuu, Wakili Mkuu wa Serikali (SG) na Naibu Wakili Mkuu (DSG), Naibu Mwendesha Mashtaka (DDPP) pamoja na Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali (DAG) leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.Wapili kulia anayeshuhudia ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi.[/caption] [caption id="attachment_30675" align="aligncenter" width="1000"] Kamishna wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Jaji Mstaafu Harold Nsekela akiwaongoza majiji na vingozi wengine kula kiapo cha uadilifu katika hafla ya kuwaapisha Majaji wapya wa Mahakama Kuu, Wakili Mkuu wa Serikali (SG) na Naibu Wakili Mkuu (DSG), Naibu Mwendesha Mashtaka (DDPP) pamoja na Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali (DAG) leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_30676" align="aligncenter" width="1000"] Baadhi ya viongozi wa Serikali wakifuatilia hafla ya kuwaapisha Majaji wapya wa Mahakama Kuu, Wakili Mkuu wa Serikali (SG) na Naibu Wakili Mkuu (DSG), Naibu Mwendesha Mashtaka (DDPP) pamoja na Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali (DAG) leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_30677" align="aligncenter" width="1000"] Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na baadhi ya Majaji mara baada ya kumalizika kwa hafla ya kuwaapisha Majaji wapya wa Mahakama Kuu, Wakili Mkuu wa Serikali (SG) na Naibu Wakili Mkuu (DSG), Naibu Mwendesha Mashtaka (DDPP) pamoja na Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali (DAG) leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_30678" align="aligncenter" width="1000"] Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Dotto James akiteta jambo na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda walipokutana katika hafla ya kuwaapisha Majaji wapya wa Mahakama Kuu, Wakili Mkuu wa Serikali (SG) na Naibu Wakili Mkuu (DSG), Naibu Mwendesha Mashtaka (DDPP) pamoja na Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali (DAG) leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_30679" align="aligncenter" width="1000"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Jamhuri wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Majaji wapya wa Mahakama Kuu, Wakili Mkuu wa Serikali (SG) na Naibu Wakili Mkuu (DSG), Naibu Mwendesha Mashtaka (DDPP) pamoja na Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali (DAG) wakati wa hafla ya kuwaapisha leo Ikulu Jijini Dar es Salaam. (Picha na: Frank Shija - MAELEZO)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi