Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Dkt. Shein Aagana na Gavana wa BOT Anayemaliza Muda Wake, Profesa Ndulu.
Jan 08, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_26527" align="aligncenter" width="750"] RAIS wa Zanzibar na Mwnyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Gavana wa Benki ya Tanzania (BOT) anayemaliza muda wake Profesa Benno Ndulu, alipofika Ikulu Zanzibar kumuaga rasmi kwa kumaliza muda wake wa Kazi BOT, hafla hiyo imefanyika leo Ikulu Zanzibar 8-1-2018.[/caption] [caption id="attachment_26530" align="aligncenter" width="715"] RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwa na mgeni wake Gavana wa Benki ya Tanzania (BOT) anayemaliza muda wake Profesa Benno Ndulu, wakitoka katika ukumbi baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Zanzibar kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa Kazi BOT.[/caption] [caption id="attachment_26529" align="aligncenter" width="750"] RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiwa katika picha ya pamoja na Gavana wa Benki ya Tanzania (BOT) anayemaliza muda wake Profesa Benno Ndulu na maofisa wa BOT aliofuatana nao. (Picha na Ikulu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi