Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Dkt Magufuli Atembelea Makao Makuu ya TAKUKURU
Aug 28, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_10694" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wafanyakazi wa Makao Makuu ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Upanga jijini Dar es salaam leo Agosti 28, 2017[/caption] [caption id="attachment_10696" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wafanyakazi wa Makao Makuu ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Upanga jijini Dar es salaam leo Agosti 28, 2017 . Wengine ni Waziri wa Nch Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi na Utawala bora) Mhe. Angela Kairuki, Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Dr. Laurean Ndumbaro, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Bw. Valentino Mlowola, na Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa TAKUKURU Bw. Alex Mfungo.[/caption] [caption id="attachment_10699" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza kwa risala nzuri Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Bw. Valentino Mlowola alipowatembelea makao makuu yao Upanga jijini Dar es salaam leo Agosti 28, 2017.[/caption] [caption id="attachment_10702" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza kwa risala nzuri Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Bw. Valentino Mlowola alipowatembelea makao makuu yao Upanga jijini Dar es salaam leo Agosti 28, 2017.[/caption] [caption id="attachment_10705" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza kwa risala nzuri Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Bw. Valentino Mlowola alipowatembelea makao makuu yao Upanga jijini Dar es salaam leo Agosti 28, 2017.[/caption] [caption id="attachment_10708" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Bw. Valentino Mlowola alipowatembelea makao makuu yao Upanga jijini Dar es salaam leo Agosti 28, 2017. Wengine ni Waziri wa Nchi ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora) Mhe. Angela Kairuki na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Dkt. Laurean Ndumbaro.
Picha na IKULU[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi