Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

MAELEZO Yapokea Msaada wa Vifaa Kutoka Ubalozi wa China

Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China hapa nchini Mhe. WANG Ke akimwelezea jambo Waziri wa Habari, Utamduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe wakati wa hafla fupi ya kukabidhi msaada wa vifaa kwa ajili ya Idara ya Habari (MAELEZO) iliyofanyika katika Ofisi za Ubalozi wa China Jijini Dar es Salaam leo. Msaada huo unajumuisha Kompyuta mpakato na samani za ofisi.

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akimsikiliza Waziri Mshauri wa Ubalozi wa China hapa nchini Gou Haodong walipokutana katika hafla fupi ya kukabidhi msaada wa vifaa kwa ajili ya Idara ya Habari (MAELEZO) iliyofanyika katika Ofisi za Ubalozi wa China Jijini Dar es Salaam leo. Msaada huo unajumuisha Kompyuta mpakato na samani za ofisi.

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi na Waziri Mshauri wa Ubalozi wa China hapa nchini Gou Haodong wakitia saini hati ya makabidhiano ya vifaa katika hafla fupi ya kukabidhi vifaa hivyo iliyofanyika katika Ofisi za Ubalozi wa China Jijini Dar es Salaam leo. Msaada huo unajumuisha Kompyuta mpakato na samani za ofisi.

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akielezea jambo mbele ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China hapa nchini Mhe. WANG Ke walipokutana katika hafla fupi ya kukabidhi msaada wa vifaa kwa ajili ya Idara ya Habari (MAELEZO) iliyofanyika katika Ofisi za Ubalozi wa China Jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Rodney Thadeus. Msaada huo unajumuisha Kompyuta mpakato na samani za ofisi.

Waziri wa Habari, Utamduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akielezea jambo mbele ya Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China hapa nchini Mhe. WANG Ke (wapili kulia) walipokutana katika hafla fupi ya kukabidhi msaada wa vifaa kwa ajili ya Idara ya Habari (MAELEZO) iliyofanyika katika Ofisi za Ubalozi wa China Jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi na Kulia ni Waziri Mshauri wa Ubalozi wa China hapa nchini Gou Haodong . Msaada huo unajumuisha Kompyuta mpakato na samani za ofisi.

 

Waziri Mshauri wa Ubalozi wa China hapa nchini Gou Haodong akifafanua jambo mbele ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (wa pili kutoka kushoto) walipokutana katika hafla fupi ya makabidhiano ya msaada wa vifaa kwa ajili ya Idara ya Habari (MAELEZO) iliyofanyika katika Ofisi za Ubalozi wa China Jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China hapa nchini Mhe. WANG Ke. Msaada huo unajumuisha Kompyuta mpakato na samani za ofisi. (Picha na: Frank Shija)

125 thoughts on “MAELEZO Yapokea Msaada wa Vifaa Kutoka Ubalozi wa China

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama