
Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga akisisitiza jambo wakati akizungumza kwenye mkutano wa wadau wa sekta ya Tumbaku katika hafla ya ufunguzi wa msimu wa masoko ya Tumbaku mwaka 2019 iliyofanyika katika maghala ya kampuni ya Alliance One Wilaya ya Urambo mkoani Tabora, leo Tarehe 13 Mei 2019.
Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo – Tabora
Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga amesisitiza agizo lake alilolitoa hivi karibuni kuhusu ajira kwa watoto ambao wapo chini ya miaka 18.
Mhe Hasunga amepiga marufuku kitendo hicho leo tarehe 13 Mei 2019 wakati akizungumza kwenye mkutano wa wadau wa sekta ya Tumbaku katika hafla ya ufunguzi wa msimu wa masoko ya Tumbaku mwaka 2019 iliyofanyika katika maghala ya kampuni ya Alliance One Wilaya ya Urambo mkoani Tabora.
Alisema kuwa suala la ajira kwa watoto ni miongoni mwa mambo yanayozuiliwa kwenye Sheria za kimataifa kupitia Shirika la Kazi Duniani (International Labour Organization) na Sheria za Ajira hapa nchini hivyo mdau yeyote atakayebainika kukiuka maelekezo hayo atashtakiwa.
“Nawasihi wadau wote tuendelee kupiga vita ajira kwa watoto katika tasnia ya tumbaku kwa kuwa ni eneo ambalo limeendelea kulalamikiwa na wadau” Alikaririwa Mhe Hasunga

Baadhi ya wakulima wa zao la Tumbaku wakifatilia hotuba ya Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga wakati akizungumza kwenye mkutano wa wadau wa sekta ya Tumbaku katika hafla ya ufunguzi wa msimu wa masoko ya Tumbaku mwaka 2019 iliyofanyika katika maghala ya kampuni ya Alliance One Wilaya ya Urambo mkoani Tabora, leo Tarehe 13 Mei 2019.
Kadhalika, Mhe Hasunga alisema kuwa katika kuhakikisha zao la tumbaku linaendelea kutoa mchango mkubwa katika pato la mkulima na Taifa, Wizara imejiwekea malengo ya haraka yanayopaswa kutekelezwa ambayo ni pamoja na kukamilisha usajili wa wakulima wote wa tumbaku ifikapo tarehe 30 Juni 2019, kuwapatia vitambulisho na kuwaingiza kwenye kanzidata ili kupata takwimu za uhakika za maeneo wanayolima na kuiwezesha serikali kusimamia upatikanaji wa pembejeo kulingana na mahitaji yao.
Malengo mengine ni Tumbaku yote inayovunwa na wakulima sasa inauzwa ifikapo mwisho wa masoko tarehe 31 Julai, 2019 huku akiiagiza Bodi ya Tumbaku kushirikiana na wakulima wote kusimamia kwa makini masoko ili tuweze kuanza mapema maandalizi ya zao la msimu wa 2019/2020.
Aidha, mipango mingine ni kuhakikisha upatikanaji wa pembejeo kwa wakati kwa kuweka utaratibu wa kumwezesha mkulima kujitegemea kwa pembejeo ili aache kuwa tegemezi wa mikopo ya mabenki yenye riba kubwa.

Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga akikagua ubora wa Tumbaku wakati wa mkutano wa wadau wa sekta ya Tumbaku katika hafla ya ufunguzi wa msimu wa masoko ya Tumbaku mwaka 2019 iliyofanyika katika maghala ya kampuni ya Alliance One Wilaya ya Urambo mkoani Tabora, leo Tarehe 13 Mei 2019.
Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga (Katikati) akizungumza na Mkurugenzi wa Uzalishaji wa kampuni ya Alliance One, David Mayunga (Kulia) sambamba na Mwenyekiti wa umoja wa Vyama vikuu vya wakulima wa Tumbaku Tanzania (TCJE), Emmanuel Cherehani mara baada ya mkutano wa wadau wa sekta ya Tumbaku katika hafla ya ufunguzi wa msimu wa masoko ya Tumbaku mwaka 2019 iliyofanyika katika maghala ya kampuni ya Alliance One Wilaya ya Urambo mkoani Tabora, leo Tarehe 13 Mei 2019.
Mhe Hasunga ameiagiza Bodi na Tume ya Maendeleo Ushirika kuhakikisha wanawashirikisha wakulima kupitia vyama vyao kuweka akiba ya fedha kununua pembejeo kwa kukatwa kiasi watakachokubaliana wakati wa mauzo ya tumbaku.
Pamoja na malengo hayo ya haraka, Wizara ya Kilimo inasimamia utekelezaji wa malengo ya muda mrefu yakiwemo Upatikanaji wa wanunuzi wapya wa tumbaku kwa sasa na kwa miaka ijayo kabla ya Juni, 2020, Kuongeza ubora wa zao la tumbaku kutoka asilimia 87 ya sasa hadi asilimia 92 ifikapo Juni 2022 na Kuongeza mbegu mpya na bora za tumbaku ili kuweza kupata masoko katika nchi nyingine kama vile China.
Alisema ili kufikia malengo hayo wadau wote wa tasnia ya tumbaku wanapaswa kushirikiana ili kufikia malengo hayo na wakulima kunufaika na jasho lao.
“Viongozi ngazi ya Mkoa na Wilaya wakiwemo Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Waheshimiwa Wabunge, Wenyeviti wa Halmashauri na Wakurugenzi wa Halmashauri wanao wajibu na mchango mkubwa kuendeleza zao hili kwa kusimamia Sheria zinazosimamia zao hili, kusimamia huduma za ugani na kutenga fedha kupitia mapato ya ndani ya Halmashauri” Alisisitiza Mhe Hasunga
Tumbaku ni miongoni mwa mazao makuu ya kimkakati ya yaliyopewa kipaumbele na Serikali ya Awamu ya Tano chini ya uongozi wa Mhe Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mazao mengine ni pamoja na Tumbaku, Kahawa, Pamba, Korosho, Chai, michikichi na alizeti.

Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga sambamba na viongozi wengine wakikagua madaraja ya kwenye zao la Tumbaku mara baada ya mkutano wa wadau wa sekta ya Tumbaku katika hafla ya ufunguzi wa msimu wa masoko ya Tumbaku mwaka 2019 iliyofanyika katika maghala ya kampuni ya Alliance One Wilaya ya Urambo mkoani Tabora, leo Tarehe 13 Mei 2019.
Mhe Hasunga alisema kuwa Serikali imejipanga kuhakikisha kuwa malengo ya uzalishaji yanafikiwa kwa kuimarisha mifumo ya upatikanaji wa pembejeo kwa wakati, kuboresha huduma za ugani na kutafuta masoko mapya ya tumbaku.
Serikali inatumia mfumo wa uagizaji wa mbolea kwa pamoja ili kuhakikisha mbolea inafika kwa wakati, kwa bei nafuu na kudhibiti upandishaji holea wa bei. “Nichukue nafasi hii kuigiza Bodi ya Tumbaku na viongozi wa vyama vya ushirika kuhakikisha kuwa wakamilisha kwa wakati kuweka malengo ya uzalishaji na mahitaji ya mbolea ili uagizaji wa mbolea ufanyike mapema” Alisema Mhe Hasunga
Takwimu zinaonesha kwamba kwa kipindi cha zaidi ya miaka 10 hadi kufikia mwaka 2016 tumbaku imekuwa na mchango mkubwa wa kuliingizia Taifa fedha za kigeni. Kwa mfano katika mwaka 2017, tumbaku iliingiza fedha za kigeni kiasi cha Dola za Kimarekani Milioni 195.8 ikishika nafasi ya pili baada ya zao la korosho. Licha ya faida kwa taifa, pia, uzalishaji wa tumbaku unawanufaisha wakulima, wanunuzi, viwanda vya kusindika tumbaku, mabenki, wasambazaji wa pembejeo, Halmashauri za wilaya na wadau wengine katika mnyororo wa thamani.
Pingback: cialis pill
Pingback: cialis over the counter at walmart
Pingback: best over the counter ed pills
Pingback: ed meds online without doctor prescription
Pingback: male ed pills
Pingback: cialis 10 mg
Pingback: wind creek casino online play
Pingback: purchase viagra
Pingback: real money online casinos usa
Pingback: online slots real money
Pingback: installment loans
Pingback: viagra prescription
I came here to study slutloadlive Mercer, a division of Marsh & McLennan Companies Inc, will become the benefits administrator for 75,000employees and 90,000 dependents, the company said on Tuesday. Itwill also operate a separate private exchange for 35,000Medicare-eligible retirees at 19 companies, including KinderMorgan Inc and St. Louis Metro Transport.
Pingback: online casino no download required
Pingback: jackpot online pokies
Pingback: empire casino online
Pingback: cialis buy
Pingback: cialis buy
I’m retired costo promedio allopurinol 300 mg Coca-Cola spokeswoman Lindsey Raivich said the Atlanta-based company is pleased that class certification was denied for damages, and believes the plaintiffs’ claims in general “are without merit and will ultimately be rejected.”
I’m about to run out of credit clomid et test de grossesse The legal case was just one of 17 different suits filed by Seine-Saint-Denis against its banks, but it has quickly been viewed as a precedent in other afflicted towns, including Saint Etienne, which signed on to loans at a preliminary 4 percent rate that were indexed to the Swiss franc-British pound exchange rate. The rate soared as high as 24 percent at one point, doubling the townâs $160 million nominal debt. Saint Etienne, too, is suing its bankers.
Pingback: doubleu casino
Pingback: online slots
This is the job description cost effexor xr âThe mainstream No campaign has avoided issues around identity. Seeking electroal advantage through notions of Britishness is a politica ldead end and I imagine things like this motion will turn so many No voters off.â
I’m a partner in wellbutrin xl canada prices Sometime soon after that, Anjelica disappeared from the apartment. Castillo told investigators that when she began to inquire about her daughter’s whereabouts with the relatives the child had been left with, she was told that Anjelica was no longer living there, but little more, according to a law enforcement source.
Pingback: viagra pills
Pingback: viagra canada
buy cheap viagra http://pills2sale.com/
hi!,I really like your writing so much! share we keep up a correspondence extra about
your article on AOL? I require a specialist in this house to resolve
my problem. May be that’s you! Looking ahead to
see you.
Here is my web site is bovada poker safe in us