Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Hali ya Usalama Barabarani Yaimarika


Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania(Traffic), SACP. Fortunatus Musilimu akizungumza na Wahandishi wa Habari kuhusu hali ya ajali na makosa ya barabarani kwa mwaka 2017 leo jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya Maafisa wa Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani wakimsikiliza Kamanda wa Kikosi hicho SACP. Fortunatus Musilimu(hayupo pichani) alipokuwa akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu hali ya mwenendo wa hali ya usalama barabarani kwa mwaka 2017 katika ofisi za Makao Makuu ya Trafiki jijini Dar es Salaam leo.

Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania (Traffic), SACP. Fortunatus Musilimu akizungumza na Wahandishi wa Habari kuhusu hali ya ajali na makosa ya barabarani kwa mwaka 2017 leo jijini Dar es Salaam. (Picha na: Frank Shija – MAELEZO)

17 thoughts on “Hali ya Usalama Barabarani Yaimarika

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama