Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Gavana wa Saba wa Benki Kuu ya Tanzania Aanza Kazi Rasmi

Prof. Florens Luoga akizungumza leo Jijini Dar es Salaam katika mahojiano mafupi ofisini kwake mara baada ya kuanza rasmi kazi ya Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania.

 

174 thoughts on “Gavana wa Saba wa Benki Kuu ya Tanzania Aanza Kazi Rasmi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama