Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Dkt. Tulia Ackson akabidhi TV sita JKCI.

Kaimu Mkurugenzi wa Tiba Shirikishi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ambaye pia ni Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo Delila Kimambo akimweleza Naibu Spika wa Bunge Mhe. Dkt. Tulia Ackson maendeleo ya afya za pacha walioungana Maria na Consolata waliolazwa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa ajili ya Matibabu.

Naibu Spika wa Bunge Mhe. Dkt. Tulia Ackson kupitia Taasisi ya Tulia (Tulia Trust Fund) akabidhi TV sita (6) kwa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ambazo zimefungwa katika wodi na kliniki za watoto. Awajulia hali pacha walioungana Maria na Consolata waliolazwa katika Taasisi hiyo kwa ajili ya Matibabu.

Naibu Spika wa Bunge Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiwajulia hali mapacha walioungana Maria na Consolata waliolazwa katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa ajili ya Matibabu.

Naibu Spika wa Bunge Mhe. Dkt. Tulia Ackson akimkabidhi Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Fedha Agnes Kuhenga Televisheni moja kati ya nne zilizotolewa na Taasisi ya Tulia (Tulia Trust Fund) kwa ajili ya watoto wanaotibiwa katika Taasisi hiyo. Jumla ya TV sita zimetolewa na Tulia Trust ambazo zimefungwa katika wodi na kliniki za watoto.

Naibu Spika wa Bunge Mhe. Dkt. Tulia Ackson akimjulia hali mtoto aliyelazwa katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa ajili ya matibabu. Mhe. Dkt. Tulia kupitia Taasisi ya Tulia (Tulia Trust Fund) ametoa TV sita kwa JKCI ambazo zimefungwa katika wodi na kliniki za watoto.
Picha na JKCI

49 thoughts on “Dkt. Tulia Ackson akabidhi TV sita JKCI.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama