Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Dkt. Shein Azungumza na Uongozi wa Wizara

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto  katika  kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza ya mwaka kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja, (Picha na Ikulu 28/10 /2017.)

Waziri wa  Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto  Mhe. Moudline Syrus Castco (katikati) akisoma taarifa yake katika  kikao cha siku moja cha Uongozi wa Wizara  hiyo katika Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza ya mwaka kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).  Wengine ni Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee (kulia) na Naibu Waziri Mhe. Shadya Mohamed Suleiman, (Picha na Ikulu. 24/10 /2017.)

Maafisa wa Idara zilizo chini ya Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee,Vijana, Wanawake na Watoto  wakiwa katika  kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza ya mwaka kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja na kuongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein (hayupo pichani), (Picha na Ikulu 28/10 /2017.)

92 thoughts on “Dkt. Shein Azungumza na Uongozi wa Wizara

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama