Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Dkt. Shein Awasili Kisiwani Zanzibar Kuhudhuria Sherehe za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Hemed Suleiman Abdallah, alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Karume Kisiwani Pemba,kwa ajili ya kuhudhuria Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar zinazotarajiwa kufanyika tarehe 12/1/2019, katika Uwanja wa Ngombani Pemba.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Viongozi wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Kisiwani Pemba, baafda ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Karume Chakechake Kisiwani Pemba

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Hemed Suleiman Abdallah, baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Karume Chakechake Kisiwani Pemba, akielekea katika chumba cha VIP.

74 thoughts on “Dkt. Shein Awasili Kisiwani Zanzibar Kuhudhuria Sherehe za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama