Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Dkt. Shein Amewaapisha Wakuu Wa Mikoa Wawili Ikulu Leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe. Ayoub Mohamed Mahmoud kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla ya uteuzi wa leo Ayoub alikuwa Mkuu wa Mkoa wa mjini Magharibi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, DktA li Mohamed Shein akimuapisha Mhe. Hassan Khatib Hassan kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi kwenye hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar. Mhe. Hassn Khatib alikuwa Mkuu wa mkoa wa Kusini Unguja

33 thoughts on “Dkt. Shein Amewaapisha Wakuu Wa Mikoa Wawili Ikulu Leo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama