Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Dkt. Ndumbaro Afanya Mazungumzo na Mwakilishi wa WHO

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Damas Ndumbaro, amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Dkt. Tigest Ketsela Mengestu. Mazungumzo hayo yamefanyika katika Ofisi ndogo ya Wizara jijini Dar es Salaam leo

241 thoughts on “Dkt. Ndumbaro Afanya Mazungumzo na Mwakilishi wa WHO

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama