Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Dkt. Kigwangala Azishauri Taasisi za Kifedha Kuwekeza Dodoma

 

 

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Hamis Kigwangala pamoja na Mke wake wakipata huduma ya chakula alipokuwa mgeni rasmi katika hafla ya Iftar iliyoandaliwa na Benki ya Biashara Afrika Tawi la Tanzania (CBA Tanzania) leo Jijini Dar es Salaam.

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Hamis Kigwangala akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya menejimenti ya Benki ya CBA mara baada ya kumaliza hafla ya Iftar iliyoandaliwa na Benki ya hiyo leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa CBA Tanzania, Gift Shoko.
Picha na: Frank Shija

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama