Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Dkt. Abbasi Apewa Tuzo ya Uzalendo

Katibu wa Asasi ya Wazalendo na Maendeleo Tanzania (AWAMATA) Merinah Millensasha (kulia) akionesha kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) cheti cha pongezi kwa kazi ya uzalendo inayofanywa na Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dk Hassan Abbasi (katikati) na kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Ustawi wa Jamii, Wazee na Watoto wa asasi hiyo, Mohamed Shaban.

Katibu wa Asasi ya Wazalendo na Maendeleo Tanzania (AWAMATA) Merinah Millensasha (kulia) akimkabidhi cheti cha pongezi Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dk Hassan Abbasi (katikati) kwa kutambua kazi ya Uzalendo anayofanya, kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Ustawi wa Jamii, Wazee na Watoto wa asasi hiyo, Mohamed Shaban.

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dk Hassan Abbasi (katikati) akionesha kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) cheti cha pongezi kwa Uzalendo alichokabidhiwa na Katibu wa Asasi ya Wazalendo na Maendeleo Tanzania (AWAMATA) Merinah Millensasha (kulia) na kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Ustawi wa Jamii, Wazee na Watoto wa asasi hiyo, Mohamed Shaban.

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dk Hassan Abbasi (katikati) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) mara baada ya kukabidhiwa cheti cha pongezi kwa kazi ya Uzalendo anayofanya na Katibu wa Asasi ya Wazalendo na Maendeleo Tanzania (AWAMATA) Merinah Millensasha (kulia) na kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Ustawi wa Jamii, Wazee na Watoto wa asasi hiyo, Mohamed Shaban.

Cheti cha pongezi alichokabidhiwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dk Hassan Abbasi kwa kutambua kazi ya uzalendo anayoifanya.
Picha na Idara ya Habari – MAELEZO

145 thoughts on “Dkt. Abbasi Apewa Tuzo ya Uzalendo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev e┼čyas─▒ depolama