Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Dkt. Abbas Atembelea Mabanda Mbalimbali katika Maonesho ya 41 ya Kimataifa ya Biashara

Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO Dkt.Hassan Abbasi(katikati) na Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Serikali (TSN) Dk. Jimmy Yonaz(kulia) wakijadili jambo na Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji (Biashara na Uwekezaji) Prof.Adolf Mkenda walipotembele katika Maonesho ya 41 ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika Jijini Dar es Salaam

 

Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO Dkt.Hassan Abbasi akipata maelezo kutoka kwa Afisa Masoko wa Wizara ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji Bw.Ally Mayai alipotembele banda hilo katika Maonesho ya 41 ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika Jijini Dar es Salaam

 

Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO Dkt.Hassan Abbasi(katikati), Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Serikali (TSN) Dk. Jimmy Yonaz(kulia) na Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari-MAELEZO(Huduma za Habari) Bw.Rodney Thadeus wakipata maelezo kutoka kwa Paul Michael Mkurugenzi wa Kiwanda cha Bidhaa za Ngozi cha P.M.Tito’s walipotembelea Maonesho ya 41 ya Kimataifa ya Biashara leo Jijini Dar es Salaam.

 

Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO Dkt.Hassan Abbasi na Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Serikali (TSN) Dk. Jimmy Yonaz wakipata maelezo ya namna picha za video za zamani zilivyokuwa zinahifadhiwa alipotembelea banda la Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) katika Maonesho ya 41 ya Kimataifa ya Biashara leo Jijini Dar es Salaam.

Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Serikali (TSN) Dk. Jimmy Yonaz akimpa maelezo Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO Dkt.Hassan Abbasi namna wanavyofanya shughuli zao, alipotembelea banda la hilo katika Maonesho ya 41 ya Kimataifa ya Biashara leo Jijini Dar es Salaam

 

Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO Dkt.Hassan Abbasi akisaini kitabu cha wageni alipotembelea banda la Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) katika Maonesho ya 41 ya Kimataifa ya Biashara Leo Jijini Dar es Salaam, Kushoto ni Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Serikali (TSN) Dkt. Jimmy Yonaz

 

Picha na Idara ya Habari-MAELEZO

37 thoughts on “Dkt. Abbas Atembelea Mabanda Mbalimbali katika Maonesho ya 41 ya Kimataifa ya Biashara

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama