Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Dkt. Abbas Akutana na Waandishi wa Habari, Wasomi wa Mawasiliano ya Umma Mkoani Mwanza

Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akishiriki kipindi cha TUJADILIANE kilichoendeshwa na Doto Bullendu chenye lengo la kuhamasisha maendeleo katika nchi kwa kutumia vyombo vya Habari, Jana 1/05/2018 mkoani Mwanza

Mkurugenzi Mtendaji wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania Abubakar Karsan akiongea wakati wa kumkaribisha Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO Dkt. Hassan Abbasi kabla hajashiriki kipindi cha TUJADILIANE kilicho hudhuriwa na waandishi mbalimbali wa vyombo vya habari vya kanda ya Ziwa, Jana 1/05/2018 mkoani Mwanza

Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akishiriki kipindi cha TUJADILIANE kinachoendeshwa na Doto Bullendu chenye lengo la kuhamasisha maendeleo katika nchi kwa kutumia vyombo vya Habari, Jana 1/05/2018 mkoani Mwanza

Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC) pamoja na waandishi mbalimbali wa vyombo vya habari vya kanda ya Ziwa, Jana 1/05/2018 mkoani Mwanza

Mkurugenzi Mtendaji wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania Abubakar Karsan akimueleza jambo Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi wakati wa ziara ya kikazi ya Dkt. Abbas, Jana 1/05/2018 mkoani Mwanza.

Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akiongea na Mkurugenzi Mtendaji wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania Abubakar Karsan ambapo alimueleza nia ya Serikali ya kuendelea kutoa ushirikiano kwa waandishi wa habari nchini, Jana 1/05/2018 mkoani Mwanza.

Mkurugenzi Mtendaji wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania Abubakar Karsan akimuonesha Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi bango lenye kuonesha majukumu ya klabu za waandishi wa habari nchini,Jana 1/05/2018 mkoani Mwanza.

Mkurugenzi Mtendaji wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania Abubakar Karsan akikabishi Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi kalenda ya chama hicho,Jana 1/05/2018 mkoani Mwanza.

Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akiongea na wasomi wa Mawasiliano ya Umma wa Chuo cha Mtakatifu Agustino (SAUT) Mwanza kuhusu Maadili ya Uandishi wa Habari na umuhimu wa uandishi katika kufuata weledi, Jana 1/05/2018 mkoani Mwanza.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama