Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Dk.Shein Azungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ

Baadhi ya Makamanda wa Idara mbali mbali za SMZ wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani), alipozungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.

 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya NchI Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Nd,Radhia Rashid Haroub (kulia) alipokuwa akisoma taarifa ya Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe.Haji Omar Kheir (katikati) alipowasilisha Muhtasari wa Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017, wakati wa kikao cha siku moja cha Uongozi wa Wizara hiyo kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)wengine ni Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee (kulia) na Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhe.Shamata Shaame Khamis,

Kamishna wa Vyuo vya Mafunzo Zanzibar Nd,Ali Abdalla Ali akitoa maelezo kuhusi Taasisi yake wakati wa kikao cha Uongozi wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) akiwepo na Mkuu wa JKU Kanali Ali Mtumwenio Ali,[Picha na Ikulu.] 01/11 /2017.

4 thoughts on “Dk.Shein Azungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ

 • August 11, 2020 at 6:08 pm
  Permalink

  I am curious to find out what blog platform you happen to be utilizing?
  I’m having some minor security issues with my latest website
  and I would like to find something more secure. Do you have any suggestions?

  Reply
 • August 25, 2020 at 6:30 pm
  Permalink

  That is really interesting, You’re an overly professional blogger.
  I’ve joined your feed and stay up for searching for more
  of your wonderful post. Also, I have shared your site in my social networks 3aN8IMa cheap
  flights

  Reply
 • August 27, 2020 at 6:29 am
  Permalink

  Hello there! I could have sworn I’ve visited this site before but after looking at many of the articles I realized it’s new to me.
  Anyhow, I’m definitely delighted I stumbled upon it and I’ll be book-marking it and checking back frequently!

  Reply
 • August 31, 2020 at 7:27 pm
  Permalink

  When someone writes an post he/she maintains the plan of a user in his/her brain that how a user can be aware of it.
  Therefore that’s why this post is outstdanding. Thanks!

  Reply

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama