Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Dk.shein Asafiri Safari Maalum Nchini Uingereza

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akiagana na Wazee wa Chama cha Mapinduzi CCM Zanzibar katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akiondoka nchini kuelekea Uingereza kwa safari maalum ya wiki tatu,

MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (kushoto) alipokuwa akiagana na Wazee wa Chama cha Mapinduzi CCM Zanzibar katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akiondoka nchini akiungana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kuelekea Uingereza kwa safari maalum ya wiki tatu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akiagana na katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akiondoka nchini kuelekea Uingereza kwa safari maalum ya wiki tatu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akiondoka nchini kuelekea Uingereza kwa safari maalum ya wiki tatu

Viongozi mbali mbali wakimpungia mkono wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akiondoka nchini kuelekea Uingereza kwa safari maalum ya wiki tatu

125 thoughts on “Dk.shein Asafiri Safari Maalum Nchini Uingereza

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama