Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Dk.Shein Akutana na Makamu wa Shirika la Ndege la Misri Egyptair

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Makamo wa Rais wa Shirika la Ndege la Misri EGYPTAIR Bw.Mohamed Alabbady alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiwa na Ujumbe aliofuatana nao.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Makamo wa Rais wa Shirika la Ndege la Misri EGYPTAIR Bw.Mohamed Alabbady (katikati) alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiwa na Ujumbe aliofuatana nao.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Makamo wa Rais wa Shirika la Ndege la Misri EGYPTAIR Bw.Mohamed Alabbady alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiwa na Ujumbe aliofuatana nao (hawapo pichani),[

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akibadilishana mawazo na Makamo wa Rais wa Shirika la Ndege la Misri EGYPTAIR Bw.Mohamed Alabbady (kushoto) mara baada ya mazungumzo yao yalifanyifika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiwa na Ujumbe aliofuatana nao (wa pili kulia) Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Misri Meja Jenerali Issa Suleiman Nassor na Kaimu Mkurugenzi wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Ofisi ya Zanzibar Bw.Mohamed Haji Hamza(wa pili kulia). (Picha na Ikulu)

127 thoughts on “Dk.Shein Akutana na Makamu wa Shirika la Ndege la Misri Egyptair

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama