Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Dk. Shein Afungua Soko la Jipya la Tiblieks

Jengo la Soko Jipya la mbogamboga na samaki katika eneo chakechake kama ;linavyoonekana pichani wakati wa hafla ya uzinduzi wake wakati wa sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waziri wa Kilimo Maliasili Mifungo na Uvuvi. Mhe. Hamad Rashid Mohammed alipowasili katika viwanja vya Soko la Tibirizi kwa ajili ya ufunguzi wa Soko hilo ikiwa ni shamrashamra za sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar kuadhimisha miaka 54.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Mhe. Hamad Rashid Mohammed akitowa maelezo ya ujenzi wa Soko hilo kabla ya kulifungua rasmin, wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika eneo hilo la soko chakechake Pemba.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria uzinduzi wa Soko Jipya la wafanyabiashara wa Chakechake katika eneo la Tibirizi, ikiwa ni shamrashamra za maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria kuweka jiwe la Msingi la Soko Jipya la Tibirizi Chake kulia Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Haji Omar Kheri na kushoto Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Mhe. Hamad Rashid Mohammed.(

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe wakati wa hafla ya uzinduzi wa Soko Jipya la Tibirizi Chake kulia Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Haji Omar Kheri na kushoto Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Mhe. Hamad Rashid Mohammed.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akipiga makofi baada ya uzinduzi wa Soko Jipya la Tibirizi Chake kulia Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Haji Omar Kheri na kushoto Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Mhe. Hamad Rashid Mohammed.

Mkadarasi wa Ujenzi wa Soko hilo kutoka Kampuni ya ZECCON Ali Mbarouk akitowa maelezo ya ujenzi wa Soko hilo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, alipokuwa akitembelea katika soko hilo baada ya kulizindua rasmin katika sherehe za shamrashamra za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza wakati akitembelea maeneo ya Soko hilo katika chumba maalum cha kuhifadhia Samaki, nyama na vyakula vyengine katika Soko hilo.(Picha na Ikulu)

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Mifogo Maliasili na Uvuvi Joseph Abdalla Mza akitowa taarifa ya kitaalamu ya Ujenzi wa Soko Jipya la Tibirizi Chakechake Pemba wakati wa hafla ya uzinduzi wake uliofanya na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, ikiwa ni shamrashamra za Sherehe za Miaka 54 ya Mapinduzi wa Zanzibar.

Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein, kuzungumza na wananchi wa kisiwani Pemba wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Soko la Tibirini Chakechake Pemba.

Wananchi wa Kisiwani Pemba wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Soko Jipya la Tibirini Chakechake ikiwa ni sherehe za shamrashamra za kuadhimisha miakav 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(Picha na Ikulu)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi wa Chakechake wakati wa hafla ya uzinduzi wa Soko Jipya la Chakechake Pemba, ikiwa ni sherehe za shamrashamra za maadhimishi ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(Picha na Ikulu)

31 thoughts on “Dk. Shein Afungua Soko la Jipya la Tiblieks

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama