Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Corona haijaathiri upatikanaji wa mafuta nchini – Dkt. Kalemani

Na Zuena Msuya – Dar es Salaam

Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amewatoa hofu watanzania kwa kusema kuwa tishio la virusi vya ugonjwa wa corona halijaathiri upatikanaji wa mafuta nchini.

Aidha kuna ziada ya mafuta itakayotumika zaidi ya siku 30 na bado meli zinaendelea kupakua mafuta bandarini.

12 thoughts on “Corona haijaathiri upatikanaji wa mafuta nchini – Dkt. Kalemani

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama