Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Bungeni Leo

. Naibu Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson akiongoza kikao cha pili cha Bunge la nane leo Mjini Dodoma.

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Hamis Kigwangala akijibu swali wakati wa kikao cha pili cha Bunge la nane leo Mjini Dodoma.

Naibu Waziri Wizara ya Nishati na Madini Mhe. Medard Kalemani akimsikiliza Mbunge wa Tarime Mjini (CHADEMA) Mhe. Ester Matiko wakati wa kikao cha pili cha Bunge la nane leo Mjini Dodoma.

Baadhi ya Wabunge wakifuatilia kipindi cha Maswali na Majibu wakati wa kikao cha pili cha Bunge la nane leo Mjini Dodoma. (Picha na: Daudi Manongi -Maelezo, Dodoma)

162 thoughts on “Bungeni Leo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama