Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Balozi wa Korea Kusini Nchini Tanzania Atembelea TRA

Balozi wa Serikali ya Jamhuri ya Korea Kusini nchini Tanzania Bw. Song Geum – Young akimkabidhi zawadi Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Charles Kichere alipomtembelea Kamishna huyo ofsini kwake mapema leo kuzungumzia masuala mbalimbali ya kodi katika uwekezaji na biashara. Wa kwanza kushoto ni Bw. Tiger Lee (Seung – Hoon) kutoka Ofisi ya Ubalozi wa Serikali ya Jamhuri ya Korea Kusini nchini Tanzania na wa kwanza kulia ni Bw. Said Athumani, Kaimu Mkurugenzi wa Utafiti, Sera na Mipango wa TRA.

Balozi wa Serikali ya Jamhuri ya Korea Kusini nchini Tanzania Bw. Song Geum – Young (wa pili kushoto) akizungumza na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Charles Kichere (kulia) alipomtembelea Kamishna huyo ofsini kwake mapema leo kuzungumzia masuala mbalimbali ya kodi katika uwekezaji na biashara. Kulia ni Bw. Tiger Lee (Seung – Hoon) kutoka Ofisi ya Ubalozi wa Serikali ya Jamhuri ya Korea Kusini nchini Tanzania.

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Charles Kichere (kulia) akizungumza na Balozi wa Serikali ya Jamhuri ya Korea Kusini nchini Tanzania Bw. Song Geum – Young (wa pili kushoto) alipomtembelea Kamishna huyo ofsini kwake mapema leo kuzungumzia masuala mbalimbali ya kodi katika uwekezaji na biashara. Kulia ni Bw. Tiger Lee (Seung – Hoon) kutoka Ofisi ya Ubalozi wa Serikali ya Jamhuri ya Korea Kusini nchini Tanzania.

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Charles Kichere na Balozi wa Serikali ya Jamhuri ya Korea Kusini nchini Tanzania Bw. Song Geum – Young wakipeana mikono baada ya kumaliza mazungumzo wakati Balozi huyo alipomtembelea Kamishna Mkuu ofsini kwake mapema leo kuzungumzia masuala mbalimbali ya kodi katika uwekezaji na biashara. Wa kwanza kulia ni Bw. Said Athumani, Kaimu Mkurugenzi wa Utafiti, Sera na Mipango wa TRA. (PICHA ZOTE NA VERONICA KAZIMOTO).

75 thoughts on “Balozi wa Korea Kusini Nchini Tanzania Atembelea TRA

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama