Na. Grace Semfuko-MAELEZO.
Mpango wa tathmini ya utawala bora katika Bara la Afrika APRM umesifu kuwepo kwa mafanikio makubwa nchini Tanzania, katika demokrasia,usimamizi wa uchumi,huduma za kijamii na uendeshaji wa Biashara, pamoja na miundombinu na kuitaka Tanzania kuendelea kisimamia maeneo hayo.
Mpango huo ulioanzishwa miaka 16 iliyopita na nchi za Afrika kupitia Umoja wake AU katika tahtmini yake ya sasa umeonyesha kuwa Tanzania umeonyesha mafanikio makubwa kusimamia utawala bora.
Akizungumza katika mkutano mkuu wa 16 wa mpango huo uliofanyika Jijini Dar es Salaam leo , Waziri wa mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi alisema mafanikio hayo yanatokana na umoja na ushirikiano baina ya wananchi wa Tanzania na Viongozi wa Serikali.
“Tanzania kwa miaka mingi tumekuwa na utawala bora, ni juhudi zilizofanywa na Rais Magufuli nasi tunaziendeleza,mafanikio haya yanatokana na juhudi zetu wenyewe kama Serikali chini ya Uongozi madhubuti” alisema Profesa Kabudi.
Masuala yaliyofanyiwa tathmini yalilalamikiwa na Jamii mwaka 2014,Rais Magufuli alipoingia madarakani aliyafanyia kazi na sasa tumeona yameleta mafanikio makubwa” alisema Waziri Kabudi
Alisema tathmini hiyo imeangalia pia maeneo muhimu yakiwepo ya huduma za Jamii za Elimu bure, Maji,Afya ikiwepo Ujenzi wa zahanati na upatikanaji wa dawa.
Naye Mtaalamu wa masuala ya kutathmini utawala bora kutoka APRM Dkt Rehema Twalib, alisema Tanzania imekuwa ni nchi ya mfano kwenye maeneo ya demokrasia na kuimarisha muungano wa Tanganyika na Zanzibar, uchumi, Sera na mipango mizuri, na hata kwenye eneo la Biashara ikiwepo kwenye sekta Binafsi.
APRM ni Mpango wa tathmini ya utawala bora katika Bara la Afrika wenye lengo la kuangazia nchi hizo na kufanya tathmini kwenye masuala mbali mbali ya huduma za Jamii ambapo kwa Tanzania Mpango huo umeonyesha mafanikio makubwa.
Pingback: generic viagra
Pingback: viagra without doctor
Pingback: doubleu casino online casino
Pingback: online casino slots no download
Pingback: payday advance
Pingback: 5 mg cialis
Pingback: 5 mg cialis
Pingback: cialis 20
Pingback: new cialis
Pingback: las vegas casinos on line
Pingback: online casino directories
Pingback: free slots
Pingback: casino real money
Pingback: golden nugget online casino
Pingback: sildenafil 20
Pingback: viagra cost
Pingback: tadalafil 5 mg
Good day! This post could not be written any better! Reading through this
post reminds me of my old room mate! He always kept talking about this.
I will forward this article to him. Pretty sure he will have a good
read. Thanks for sharing! http://cleckleyfloors.com/
Nice post. I learn something new and challenging on websites I stumbleupon every day.
It’s always interesting to read through content from other authors and practice a little something from their websites. https://buszcentrum.com/
Hey there! I’m at work surfing around your blog from my new iphone!
Just wanted to say I love reading through your blog and look forward
to all your posts! Carry on the great work! http://www.bee-rich.com/
cephalexin without a doctor prescription https://keflex.webbfenix.com/
vardenafil cost https://vegavardenafil.com/ vardenafil prices india
where to get sildenafil https://eunicesildenafilcitrate.com/ cheapest price for sildenafil 20 mg