Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wakati alipowasili kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma kuzindua Mradi wa USAID AFYA YANGU Mei 6, 2022. Wengine kutoka kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, Balozi wa Marekani nchini Dkt. Donald Wright na kulia ni Mkurugenzi Mkazi wa USAID, Kate Somvongsiri.
Baadhi ya washiriki wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozindua Mradi wa USAID AFYA YANGU kwenye ukumbi wa Hazin...
Read More