Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Angeline Mabula akizungumza katika Kikao kazi kilichowaunganisha Wakurugenzi wa Halmashauri na watalaam wa Sekta ya Ardhi nchini kilichofanyika jijini Dodoma Oktoba 1, 2022. Kulia ni Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Dkt. Allan Kijazi na kushoto ni Katibu Mkuu Ofisi ya Rais –TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe.
Na Anthony Ishengoma na Munir Shemweta, WANMM DODOMA
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Angeline Mabula amewataka wakurugenzi wa Halmashauri nchini kujipanga na kufanya...
Read More