[caption id="attachment_44066" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wanamichezo wakati alipowasili kwenye uwanja wa Nangwada Sijaona mjini Mtwara kufungua Mashindano ya UMISETA, Juni 10, 2019. Wengine Pichani kutoka kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelsius Byakanwa, Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinolojia, Profesa Joyce Ndalichako, na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza.[/caption]
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameagiza Halmashauri zote za Majiji na Miji zihakikishe kuwa kuan...
Read More