[caption id="attachment_42246" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani akiwasha umeme katika ofisi mpya ya Serikali ya Kijiji cha Mwigamwile, wilayani Chamwino, Mkoa wa Dodoma, alipokuwa katika ziara ya kazi, Aprili 16, 2019.[/caption]
Na Veronica Simba – Dodoma
Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani amewaagiza wataalamu wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuwasimamia wakandarasi wanaotekeleza miradi ya umeme vijijini nchi nzima kuhakikisha wanatoa kipaumbele cha kuunganisha umeme kwa taasisi zote za umma z...
Read More