Frank Mvungi- Dodoma
Tume ya Madini imetakiwa kuhakikisha inatekeleza kikamilifu jukumu la usimamizi, Udhibiti, Ukaguzi, Ufuatiliaji, Ukusanyaji wa taarifa na kuweka kumbukumbu kwa kusimamia sekta hiyo kwa uadilifu hali itakayosaidia Taifa kunufaika na uwepo wa rasilimali madini.
Akizungumza wakati akizindua Tume hiyo Jijini Dodoma, Waziri wa Madini Mhe. Angellah Kairuki amesema kuwa kuzinduliwa kwa Tume hiyo kunaashiria kuanza kwa ukurasa mpya katika sekta ya madini nchini kwa kuwa uamuzi huo ni mapinduzi makubwa hali itakayos...
Read More