[caption id="attachment_8320" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (katikati) mara alipoingia katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu Mjini Unguja leo, wakati wa kikao cha siku moja kilichojumuisha Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bodi ya Wakurugenzi ya Mfuko wa Barabara na Uongozi wa Mfuko wa Barabara, kilichozungumzia masuala mbali mbali ya kiutendaji.[/caption]
[caption id="attachment_8323" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya M...
Read More