[caption id="attachment_25067" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, akikagua nguzo za daraja la Kelema lenye urefu wa mita 205 lililopo katika barabara ya Dodoma-Mayamaya-Mela-Bonga (Babati), yenye urefu wa KM 231.5, Mkoani Dodoma. Daraja hilo linaunganisha Wilaya ya Chemba na Kondoa mkoani humo.[/caption]
Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), na Watendaji wa Mamlaka mbalimbali nchini wametakiwa kusimamia sheria ili kuhakikisha kuwa wanadhibiti changamoto za uharibifu wa miundombin...
Read More