Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongea na wananchi kipitia vyombo vya habari katika hafla ya uzinduzi wa minara 758 ya mawasiliano pamoja na kukamilika kwa maunganisho ya Mkongo wa Mawasiliano katika Wilaya 85 na makabidhiano ya Mkongo wa Mawasiliano Serikalini, katika ukumbi washroom JKCC, jinini Dodoma.
Read More