Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Balozi Iddi Atembelea Eneo Litakalojengwa Ofisi za Serikali ya Zanzibar Dodoma

Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Joseph Sokoine alipowasili Makao Makuu jijini Dodoma ambako alioneshwa eneo litakalojengwa Ofisi za Serikali hiyo.

Na Ofisi ya Makamu wa Rais

Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Balozi Seif Ali Iddi ameoneshwa na kutembelea eneo ambalo zitajengwa Ofisi za Serikali hiyo eneo la Mahoma Makulu Jijini Dodoma.

Akizungumza mara baada ya kutembelea eneo hilo, Balozi Iddi ambaye aliambatana na Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe Balozi Amina Salum Ali, alishukuru Serikali kwa kupewa eneo hilo. 

Aliahidi kuwa SMZ itaaaza ujenzi wa ofisi zake katika bajeti ya mwaka ujao wa fedha na kama watapata fungu ujenzi utaanza mapema iwezekanavyo ili waweze kuhamia katika Makao Makuu ya Nchi.

Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Balozi Seif Ali Iddi alisalimiana na Kaimu Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samuel Mwashambwa, mara baada ya kuwasili Makao Makuu jijini Dodoma ambako alioneshwa eneo litakalojengwa Ofisi za Serikali hiyo.

Katika ziara hiyo ujumbe huo kutoka Zanzibar ulipokelewa na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Joseph Sokoine, Kaimu Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu Ofisi, Samuel Mwashambwa hiyo na viongozi mbalimbali

Balozi Seif alipata nafasi ya kutembelea pia eneo la Mji wa Serikali wa Mtumba ambako zimejengwa ofisi 25 za Serikali zikiwemo za Wizara mbalimbali na tayari watumishi wake wamehamia.

Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Balozi Seif Ali Iddi alisalimiana na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Muungano kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Sifuni Msangi, mara baada ya kuwasili Makao Makuu jijini Dodoma ambako alioneshwa eneo litakalojengwa Ofisi za Serikali hiyo.

Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Balozi Seif Ali Iddi (mbele katikati) akiongozwa na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Joseph Sokoine (mwenye tai), kuangalia eneo lililotolewa kwa SMZ kwa ajili ya ujenzi wa Ofisi zake Mahoma Makulu jijini Dodoma.

Mratibu wa Mchakato wa Kuhamishia Serikali Dodoma kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu, Meshack Bandawe (kushoto) akitoa maelezo kuhusu eneo lililotolewa kwa ajili ya ujenzi wa Ofisi za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ).

Mratibu wa Mchakato wa Kuhamishia Serikali Dodoma kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu, Meshack Bandawe (kushoto) akitoa maelezo kuhusu eneo lililotolewa kwa ajili ya ujenzi wa Ofisi za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ).

Akizungumza kuhusu eneo hilo Mratibu wa Mchakato wa Kuhamishia Serikali Dodoma kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu, Meshack Bandawe alisema eneo hilo lina hekari 30.

Alisema tangu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt. John Pombe Magufuli alipotangaza Serikali kuhamia Makao Makuu ya Nchi Julai 25, 2016 ulianzishwa mchakato wa kuhamisha watumishi.

11 thoughts on “Balozi Iddi Atembelea Eneo Litakalojengwa Ofisi za Serikali ya Zanzibar Dodoma

 • October 26, 2020 at 12:14 pm
  Permalink

  I don’t know what I want to do after university 2400 mg neurontin erowid Barrick began to explore a sale of the Yilgarn South mines -Granny Smith, Lawlers and Darlot in Western Australia early thisyear. The mines accounted for 6 percent of Barrick’s gold outputin 2012, and less than 2 percent of the gold miner’s proven andprobable reserves, as of December 31, 2012.

  Reply
 • October 26, 2020 at 1:40 pm
  Permalink

  What’s the current interest rate for personal loans? augmentin bid 1000 mg 14 tablet Roadside bombs also killed two members of a displaced Shi’ite family who had recently returned to their home. The attack wounded nine others in central Baquba, 65 km (40 miles) northeast of Baghdad, police said.

  Reply
 • October 26, 2020 at 2:46 pm
  Permalink

  What do you study? atarax 10 mg hydroxyzine “That wasn’t said to me,” Cavalea said. “I’m sure a lot of people will think that, but when I look at our club, it wasn’t repetitive muscle strains or anything like that. It was broken bones or issues that needed surgery.”

  Reply
 • October 26, 2020 at 4:45 pm
  Permalink

  Another service? lamotrigine 50 mg tablet “While our results don’t show any clear-cut differences between e-cigarettes and patches in terms of quit success after six months, it certainly seems that e-cigarettes were more effective in helping smokers who didn’t quit to cut down,” said head researcher Chris Bullen.

  Reply
 • October 27, 2020 at 4:33 am
  Permalink

  Could I have , please? calily Dificid, which treats adult patients who contract infectious diarrhea in hospitals, is also being tested as a treatment to prevent diarrhea in patients under 18 years and to treat the condition in patients undergoing bone marrow transplants.

  Reply
 • October 27, 2020 at 12:18 pm
  Permalink

  I’d like to speak to someone about a mortgage tritace combi mp The ceremony was a reminder to the world – and perhaps, more to the point, to ourselves – that this country has long held within it a wellspring of joy. It was the most enticing welcome to these isles of wonder.

  Reply

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama